Thursday, February 4, 2016

UKUU WA UUMBAJI WA MUNGU

Mungu ndiye muweza wa yote, ukuu wake haupimwi wala hauchunguziki.Tazama maua , milima, mabonde, mito, maziwa, bahari na kila lolote jema linalopendeza machoni ni kazi ya mikono yake,
ASHUKURIWE !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Share: