Kimondo hiki ambacho ni kivutio kikubwa cha utalii kimekuwa kikididimia kadri siku zinavyokwenda.
Juhudi za kukibakiza zimefanyika ikiwa ni kama kukijengea zege pembeni .Hofu ya waliowengi ni kwamba kinaweza kudidimia kabisa.
KARIBU SONGWE UJIONEE KIMONDO NA SONGWE INTERNATIONAL AIRPORT