Saturday, May 14, 2016

BARCELONA MABINGWA : MPIRA KIATU KIKOMBE

Siku ya kipekee kwa klabu ya BARÇA baada ya kunyanyua kombe lilikuwa liking'ang'aniwa na mahasimu wao Real Madrid.
Kabla ya mechi za leo.Mahasimu hawa walijitupa uwanjani huku kila mmoja akijua kuwa ushindi ungempa taji hilo la LA LIGA.
Shujaa wa mchezo huo LUIS SUAREZ alifunga magoli matatu, HAT TRICK huku pia akiibuka mfungaji bora wa La Liga akimtupilia mbali mfuasi wake Christiano Ronaldo ambaye pia alifunga magoli matatu.

Share: