TAFADHALI BONYEZA HAPA KUKUZA LUGHA YA KUNDALI
Kindali ni lugha ya kibantu inayozungumzwa na WANDALI, wenyeji wa wilaya ya ILEJE , mkoa mpya wa SONGWE.
Wanapakana na Wanyakyusa, Wanyiha, na Wamalila.Inasadikika kuwa Neno hili WANDALI
limetokana na neno NDALI lenye maana ya NDEFU kwa kiswahili ambayo inadaiwa kuwa ilitokana watu wa Kabila hili kupita njia NDEFU wakati wakielekea ileje ambako ndiko makazi yao mpaka leo.

TUKOLEMWO NIFILOMBE!!
UNA MCHANGO WOWOTE KUHUSU LUGHA HII?
PENGINE UNGEPENDA KUJIFUNZA?
TUWASILIANE HAPA : suitbetus@gmail.com