Tuesday, May 31, 2016

Mh.Dkt.JOHN POMBE MAGUFULI

Ulimwengu hutawaliwa na watu wa aina mbalimbali.Tawala hizi hutofautiana kulingana na kiongozi.wanaoongozwa na mahali pa kuongozea.

Mara baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015,Mh.Dkt Magufuli n CCM walipewa ridhaa kuiongoza Jamhuri ya muungano ya Tanzania.
Uongozi wa Magufuli unabariki nafsi za wengi hasa masikini ambao jasho lao lilikuwa likiliwa na wachache.
Uongozi wa kupambana na wahujumu uchumi na wala rushwa ni aina ya uongozi ambao nchi yeyote yenye njaa ya mafanikio .
Rais magufuli anapaswa KUPONGEZQA NA TUMUOMBEE AIWEKE TANZANIA KWA WATANZANIA.
Mungu Ibariki Tanzania

Share: