Wednesday, May 4, 2016

UNATUMIA SMARTPHONE? : SIRI IMEVUJA !!!

www.mwalimuepson.blogspot.com


Watumiaji wengi wa SMARTPHONES wamekuwa wakitumia mitandao mingi ya kijamii kwenye simu zao.Wamiliki wa mitandao hiyo.

Kuanzia sasa unaweza kumiliki account nyingi za Whatsapp, au Instagram.
UTAWEZA KUTUMIA MITANDAO YOTE YA KIJAMII KWA APP MOJA.

Fuatana na mimi katika taarifa hii ili uepukane na KU INSTALL app nyingi kwenye simu yako.
Watumiaji wengi wa SMARTPHONES wamekuwa wakitumia mitandao mingi ya kijamii kwenye simu zao.Wamiliki wa mitandao hiyo wamewapa uwezo wa kuipakua mitandao hiyo kwa njia ya App kupitia  GOOGLE PLAY AU APP STORE .Baadhi ya mitandao hiyo ni kama;

1.www.mwalimuepson.blogspot.com

                                                                              Facebook



2. Twitter


www.mwalimuepson.blogspot.com

3.WhatsAppwww.mwalimuepson.blogspot.com

4.WeChat
www.mwalimuepson.blogspot.com

5.Instagram

www.mwalimuepson.blogspot.com
6.Viberwww.mwalimuepson.blogspot.com


7.LinkedInwww.mwalimuepson.blogspot.com

8.Skypewww.mwalimuepson.blogspot.com



NA MINGINE MENGI, TAFADHALI FUATA HATUA HIZI:


ANGALIZO: Usi uninstall App zako kabla hujaiwezesha app hii

1.Download Social Networks unazozipenda Kama, Whatsapp ,Insta nk ( NI MATUMAINI YANGU KUWA UNAZO TAYARI) 

 2.Hakikisha una kiasi kisichopungua MB 3 Kwenye simu yako

3.Nenda google play na search 'Parrel space' au unaweza
BONYEZA HAPA Kudownload

4.Baada ya kuinstall , Bonyeza Alama ya Jumlisha (+) ku add Apps , hapa uta add mitandao yako unayoipenda

5.Furahia APP ya ukweli.



Kwa maoni , Ushauri au Maswali, Usisite Kuwasiliana nami: suitbetus@gmail.com





Share: