Sanaa ya Mungu ni kubwa kuliko vile ambavyo mtu yeyote angefikiria.
Sanaa yake haiishiii tu kwenye milima, mabonde na miti.
Pia kaumba watu wa rangi, maumbo hulka na mionekano maridadi.
Sisi kama binadamu ni jukumu letu kuheshimu utu wa mtu, utamadani na hata imani yake ya kidini